SM

Quotes by Simon Mashalla

Simon Mashalla's insights on:

"
Kabla hujanifahamu tayari nimeshakujua, na ukinifahamu utaona pasipo kujijua, na huwezi kunijua.
"
Hakuna muziki mtamu zaidi moyoni kama kama muziki usioujua.
"
Love is refreshment undefined its flavor. You will not prevent it.
"
Migongano ya kutarajia haina maana kamili. Haifundishi.
"
Mwenye hakika hafahamu kutokuwa na hakika kwa mwenye hakika.
"
Mwanamke bora anahitaji zawadi bora katika maisha yake, hawezi kukwambia na wala haifahamu.
"
Shetani akikuweza anatamani aone kama amekuweza ili ashangilie.
"
Mapenzi ni kiburudisho kisichojulikana ladha yake. Huwezi kuyazuia.
"
Haipendezi kuchezea ndoa, iwe yako au ya mwenzako, kama kizibo cha soda. Matokeo yake ni uchafu wa thamani ya utu! Heshimu ndoa ili kutunza heshima yako.
"
Si vizuri kuonyesha moyo wa upendo kwa wanao, kwani hiyo ni hekima ya kukataliwa, isipokuwa kwa wengine.
Showing 1 to 10 of 37 results